Tunachoamini
Misingi ya Imani Yetu
01
Tunaamini kuwa Mungu ni mmoja katika Utatu Mtakatifu.
02
Tunaamini katika kuokolewa kwa neema ya Yesu Kristo.
03
Tunaamini katika Ubatizo wa Roho Mtakatifu na Ubatizo wa maji mengi.
04
Tunaamini katika Biblia yenye vitabu 66 kuwa ni neno la Mungu lililovuviwa nguvu ya Roho Mtakatifu.
05
Tunaamini kurudi kwa Yesu Kristo na Ufufuo wa wafu.
06
Tunaamini katika siku ya mwisho na hukumu ya milele.