Maono yetu
Kwenda ulimwenguni kote ili kuokoa maelfu ya nafsi za watu, kubadilisha maisha yao ya kiroho na kimwili ili kubadili jamii na dunia kwa ujumla.
“Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi” — Mathayo 28:19
HICC
Malengo
01
Jengo la kuabudia
Kununua na kujenga jengo la kuabudia la watu 3,000.
02
Matawi
Kufungua matawi ndani na nje ya Tanzania.
03
Yatima & walemavu
Kuanzisha huduma ya watoto yatima, wahitaji na walemavu.
04
Shule
Shule ya awali na msingi ya watoto walemavu na walio katika mazingira magumu.
05
Shamba darasa
Shamba darasa kwa washirika ili kujikwamua kiuchumi.
TZS 42.500.000 kati ya TZS 300.000.000 zimepatikana (14%)
TZS 0 kati ya TZS 150.000.000 zimepatikana (0%)